KAZI MPYA ILIYOKWISHA KAMILIKA

Tunapenda kutangaza kazi yetu mpya kabisa ambayo ilikuwa ni utengenezaji wa blog kwa ajili ya VISION SOUND RECORDS.
Hii ni studio ya utengenezaji wa muziki wa injili pamoja na kushoot Video. Inapatikana maeneo ya Momela Usariver barabara ya kuelekea Arusha University.
Kuona kazi hiyo Bonyeza hapa
Unangoja nini, wasiliana nasi upate blog nzuri na yenye mwonekano mzuri.

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.